Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa mwezi Novemba 2021
Aidha Waziri Makamba alieleza nia ya Serikali ya Tanzania kuanzisha uhusiano na Algeria katika eneo la nishati
The LNG project, which will be overseen by PURA, is estimated to be worth approximately USD 30 billion.
Waziri wa Nishati Mhe. January Yusuf Makamba amesema Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP) unatekelezwa kwa weledi, ufanisi, wakati na gharama zilizopangwa