The German Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ) is committing €112 million to support Kenya in the development of renewable energy and green hydrogen.
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na Mamlaka ya Udhibiti wa Petroli Zanzibar (ZPRA) zimeunda Kamati ya Pamoja ya Ufundi
Kampuni ya ARA Petroleum Tanzania Ltd imeeleza kuwa kazi ya uchukuaji wa data za mitetemo za 3D katika Kitalu cha Ruvuma kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imekamilika kwa asilimia 100.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wananchi
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhakikisha mradi wa uchimbaji wa gesi kitalu cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara unakamilika kwa wakati.
Bei ya Mafuta yashuka, hizi ni bei kwa mikoa yote nchini