Naibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili visaidie katika upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
Makamba alisema kuwa jumla ya Vijiji 486 vilivyopo katika Mkoa wa Geita ni vijiji 353 vilivyopata umeme
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASHA UMEME WA GRIDI KASULU, KIGOMA
SERIKALI YAAHIDI KUJENGA VITUO 15 VYA KUPOZA UMEME.
Waziri Makamba ashiriki warsha ya mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia nchini Norway