Naibu Katibu Mkuu Nishati akagua eneo la Mradi wa LNG
Serikali Yaendelea Kusambaza Gesi Asilia Majumbani
Naibu Katibu Nishati akagua miundombinu ya Gesi Songosongo
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali amefanya ziara ya kushtukiza ya kukagua eneo la kupakua Mafuta kutoka kwenye Meli kuingia bandarini katika kina kirefu cha Bahari eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam.
Utekelezaji wa Mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa sasa umefikia asilimia 56 na kwamba Serikali inaendelea kuhakikisha kuwa mradi huo unatekelezwa kwa kasi, uadilifu, ubora na viwango vinavyotakiwa ili kuweza kufikia malengo yaliyokusudiwa