Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya China (CNOOC) ambayo ni mmoja kati ya wanahisa wanne wanaotekeleza mradi wa EACOP, ametia saini mkataba wa wanahisa (Shareholders Agreement)
Waziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo watendaji wa kampuni ya TotalEnergies ambayo hujishughulisha uzalishaji na uuzaji wa nishati ulimwenguni.
Mradi wa utafutaji wa data za mitetemo za 3D kwenye kitalu cha Ruvu ulioanza rasmi mwezi Machi, 2021 umekamilika kwa mafanikio makubwa.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa mwezi Novemba 2021
Aidha Waziri Makamba alieleza nia ya Serikali ya Tanzania kuanzisha uhusiano na Algeria katika eneo la nishati
The LNG project, which will be overseen by PURA, is estimated to be worth approximately USD 30 billion.