Baraza la Ushauri la Serikali la EWURA (GCC), Tar.23/06/2022, lilifanya ziara ya kikazi katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Baraza limejionea maendeleo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali kama vile kituo cha abiria cha Tanzanite, Pugu pamoja na mitambo ya kupoozea umeme utakao endesha treni, kilichopo Pugu, Dar es Salaam.
Hii ikiwa ni hitimisho la ziara ya siku mbili kwa baraza hilo, iliyolenga kuwapa ufahamu wajumbe wa baraza hilo ambao ni wapya, juu ya shughuli mbalimbali za udhibiti, ili kuwaweka katika nafasi nzuri ya kufanya maamuzi katika masuala ya kiudhibiti kwa maslahi ya Taifa.
Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Kaimu mwenyekiti wa Baraza, Mha. Lydia Joseph alisema: “ Tumeona na kujifunza mengi, ambayo yatatusaidia sana katika kuishauri Serikali katika udhibiti.”
Wajumbe wengine wanaounda baraza ni Mha. Salum Inegeja (Wizara ya Nishati), Bw. Thabiti Dokodoko (Wizara ya Fedha), Bw. Julius Mwambeso na Bw. Condrad Milinga (Uwekezaji, Viwanda na Biashara).
Kenya's KenGen signed a KSh 250 million deal with Eswatini to assess geothermal potential, reinforcing its role as Africa’s geothermal leader. The project supports Eswatini’s renewable energy goals while diversifying KenGen’s revenue and advancing clean energy solutions.
2 months, 2 weeks
Indonesian President Prabowo Subianto and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan met in Brazil to discuss cooperation in energy, oil, and gas sectors. Both leaders agreed to deepen ties, focusing on trade, investment, and human resource development.
3 months
President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, swearing in Dr. James Peter Mataragio as the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Energy at a ceremony held at state house Tunguu, Zanzibar, on March 5, 2024.
11 months, 3 weeks
The 16th meeting of the East African Community (EAC) Energy Sectoral Council of Ministers, which started on February 12, 2024 at the Community's Headquarters in Arusha, has been concluded on February 14 2024.
1 year
TANESCO to Construct Largest Solar Power Plant in Kishapu, Shinyanga Region
1 year, 8 months
The German Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ) is committing €112 million to support Kenya in the development of renewable energy and green hydrogen.
2 years, 1 month
Naibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili visaidie katika upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
2 years, 3 months
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia
2 years, 3 months
WAZIRI MAKAMBA AWAASA WABUNGE WANAWAKE KUHAMASISHA NISHATI BORA YA KUPIKIA
2 years, 5 months
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE
2 years, 5 months
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
2 years, 6 months
EWURA imetoa mafunzo ya udhibiti kwa baadhi ya wafanyakazi wake ili kuwajengea uelewa wa misingi ya shughuli za udhibiti.
2 years, 9 months
Visima vya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe
2 years, 10 months
Naibu Katibu Nishati akagua miundombinu ya Gesi Songosongo
2 years, 10 months
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
2 years, 10 months
EWURA yakusanya maoni juu ya marekebisho ya bei za umeme kwa wananchi wa Visiwa vya Ukerewe.
2 years, 11 months
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa
2 years, 11 months
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania
2 years, 11 months
Mkuu wa Mkoa Mara, Mheshimiwa Ally Hapi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kusambaza majina ya mafundi umeme kuanzia katika ofisi za Kata
3 years
KATIBU MKUU NISHATI ATAKA WIZARA YA NISHATI IWE KITOVU CHA UFANISI KATIBU
3 years
EWURA KANDA YA ZIWA YATOA SEMINA KWA WADAU WA SEKTA NDOGO YAMAFUTA YA PETROLI WA MKOA WA MWANZA
3 years
BEI YA MAFUTA YA PETROLI YASHUKA
3 years
EWURA YAWAONGEZEA UJUZI MAMLAKA YA UDHIBITI WA NISHATI YA MALAWI MERA
3 years
Wadau wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli wameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi mzuri inaoufanya katika kuhakikisha Watanzania wanapewa vipaumbele vya ajira katika miradi mbalimbali inayoendelea kwenye shughuli hizo
3 years
Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuph Makamba ametoa wito kwa serikali ya India na wawekezaji wa nchini humo kutembelea nchini Tanzania ili kutazama fursa zinazopatikana kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati.
3 years, 1 month
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaji katika vitalu namba 1 na 4 na Equinor ambao ni wawekezaji katika kitalu namba 2
3 years, 2 months