Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu na weledi ili kuifanya Wizara ya Nishati iwe kitovu cha ufanisi.
Mhandisi Mramba alitoa rai hiyo tarehe 07 Februari, 2022 wakati akihutubia Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati uliofanyika mjini Morogoro katika Ukumbi wa Ofisi za TAFORI.
Mha. Mramba alisema, Baraza la Wafanyakazi husaidia kuongeza tija na ufanisi wa taasisi pamoja na ushirikishwaji wa Wafanyakazi katika maamuzi ya pamoja mahala pa kazi.
Pia aliwajulisha wajumbe kuwa mwajiri anao wajibu wa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu ili kuendelea kuweka mazangira mazuri ya kazi kwa watumishi kwa kuongeza ari, ufanisi, wa kazi, kuongeza tija na hatimaye kuwezesha kufikia malengo yanayotarajiwa na taasisi.
Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba alisema, Watanzania wana matumaini makubwa katika kuona huduma katika Sekta ya Nishati zinaboreshwa ikiwemo upatikanaji wa umeme nchini kuwa wa uhakika muda wote. Alisema, Serikali inatekeleza miradi 17 ya kimkakati kati ya hiyo 7 inasimamiwa na wizara ya nishati ikiwemo Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere.
Amebainisha kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya kugharamia Mradi Mkubwa wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ikifuatiwa na Bwawa la kuzalisha Umeme la Kidato lililopo mkoani Morogoro.
Aidha, aliwaasa wafanyakazi kutambua wajibu wao katika kazi badala ya kutanguliza masilahi binafsi kwa kuwa kila mmoja akitimiza wajibu wake. ufanisi wenye tija utapatikana na kupelekea malengo yaliyowekwa na Serikali katika utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati kufikiwa kwa wakati.
Indonesian President Prabowo Subianto and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan met in Brazil to discuss cooperation in energy, oil, and gas sectors. Both leaders agreed to deepen ties, focusing on trade, investment, and human resource development.
4 days, 22 hours
President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, swearing in Dr. James Peter Mataragio as the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Energy at a ceremony held at state house Tunguu, Zanzibar, on March 5, 2024.
8 months, 3 weeks
The 16th meeting of the East African Community (EAC) Energy Sectoral Council of Ministers, which started on February 12, 2024 at the Community's Headquarters in Arusha, has been concluded on February 14 2024.
9 months, 1 week
TANESCO to Construct Largest Solar Power Plant in Kishapu, Shinyanga Region
1 year, 5 months
The German Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ) is committing €112 million to support Kenya in the development of renewable energy and green hydrogen.
1 year, 11 months
Naibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili visaidie katika upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
2 years
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia
2 years, 1 month
WAZIRI MAKAMBA AWAASA WABUNGE WANAWAKE KUHAMASISHA NISHATI BORA YA KUPIKIA
2 years, 2 months
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE
2 years, 2 months
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
2 years, 3 months
EWURA GCC YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA SGR
2 years, 4 months
EWURA imetoa mafunzo ya udhibiti kwa baadhi ya wafanyakazi wake ili kuwajengea uelewa wa misingi ya shughuli za udhibiti.
2 years, 6 months
Visima vya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe
2 years, 7 months
Naibu Katibu Nishati akagua miundombinu ya Gesi Songosongo
2 years, 7 months
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
2 years, 7 months
EWURA yakusanya maoni juu ya marekebisho ya bei za umeme kwa wananchi wa Visiwa vya Ukerewe.
2 years, 8 months
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa
2 years, 8 months
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania
2 years, 8 months
Mkuu wa Mkoa Mara, Mheshimiwa Ally Hapi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kusambaza majina ya mafundi umeme kuanzia katika ofisi za Kata
2 years, 9 months
EWURA KANDA YA ZIWA YATOA SEMINA KWA WADAU WA SEKTA NDOGO YAMAFUTA YA PETROLI WA MKOA WA MWANZA
2 years, 9 months
BEI YA MAFUTA YA PETROLI YASHUKA
2 years, 9 months
EWURA YAWAONGEZEA UJUZI MAMLAKA YA UDHIBITI WA NISHATI YA MALAWI MERA
2 years, 9 months
Wadau wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli wameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi mzuri inaoufanya katika kuhakikisha Watanzania wanapewa vipaumbele vya ajira katika miradi mbalimbali inayoendelea kwenye shughuli hizo
2 years, 9 months
Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuph Makamba ametoa wito kwa serikali ya India na wawekezaji wa nchini humo kutembelea nchini Tanzania ili kutazama fursa zinazopatikana kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati.
2 years, 10 months
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaji katika vitalu namba 1 na 4 na Equinor ambao ni wawekezaji katika kitalu namba 2
2 years, 11 months