Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaji katika vitalu namba 1 na 4 na Equinor ambao ni wawekezaji katika kitalu namba 2
Akizungumza mara baada ya kufungua kikao cha majadiliano Jijini Arusha, Waziri Makamba alisema “Serikali imedhamiria kwa dhati kuendeleza shehena kubwa ya gesi asilia iliyogundulika katika kina kirefu cha bahari kwa kuwa na mradi wa LNG ambao utawezesha kuivuna na kuiuza gesi hiyo kwa soko la kimataifa na pia kuhudumia mahitaji yetu ya ndani na yale ya kanda”. Waziri Makamba aliongeza kuwa mradi wa LNG ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali kupitia Wizara ya Nishati ambapo mradi huu unakadiriwa kugharimu shilingi Trilioni 70 za Kitanzania na kuzalisha ajira zaidi 7000.
Kwa upande wao Wawakilishi wa Makampuni ya Shell na Equinor, Bi. Uni Fjær ambaye ni Mkurugenzi Mkazi wa Equinor Tanzania na Ndg. Jared Kuehl ambaye ni Mkurugenzi Mkazi kutoka kampuni ya Shell walieleza utayari wa makampuni yao kutekeleza mradi huu mkubwa kwa maslahi ya pande zote. Bi. Uni alisema “Equinor ina dhamira ya dhati kuona mradi huu unatekelezeka kwa wakati kwa faida ya pande zote”. Nae Ndg. Jared kutoka Shell alisema “ Shell pamoja wabia wake inafuraha kuona majadiliano ya kutekeleza mradi wa LNG yameanza tena na tunaamini kwa pamoja tutafikia malengo tuliyojiwekea”
Mradi wa LNG unahusisha uvunaji wa gesi iliyogunduliwa baharini na kuibadili kuwa kimiminika ili kuweza kuisafirisha kwa urahisi kwa ajili ya kuuza katika masoko ya kimataifa na sehemu ya gesi hiyo pia itatumika kuhudumia mahitaji ya ndani na yale ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati. Mradi huu utajengwa Mkoani Lindi ambapo Serikali kupitia TPDC tayari ilishatwaa eneo na kulipa fidia wananchi katika eneo hili tayari kwa kuanza kutekeleza mradi pale majadiliano yatakapokamilika.
Kenya's KenGen signed a KSh 250 million deal with Eswatini to assess geothermal potential, reinforcing its role as Africa’s geothermal leader. The project supports Eswatini’s renewable energy goals while diversifying KenGen’s revenue and advancing clean energy solutions.
1 month, 2 weeks
Indonesian President Prabowo Subianto and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan met in Brazil to discuss cooperation in energy, oil, and gas sectors. Both leaders agreed to deepen ties, focusing on trade, investment, and human resource development.
1 month, 4 weeks
President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, swearing in Dr. James Peter Mataragio as the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Energy at a ceremony held at state house Tunguu, Zanzibar, on March 5, 2024.
10 months, 2 weeks
The 16th meeting of the East African Community (EAC) Energy Sectoral Council of Ministers, which started on February 12, 2024 at the Community's Headquarters in Arusha, has been concluded on February 14 2024.
11 months
TANESCO to Construct Largest Solar Power Plant in Kishapu, Shinyanga Region
1 year, 7 months
The German Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ) is committing €112 million to support Kenya in the development of renewable energy and green hydrogen.
2 years
Naibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili visaidie katika upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
2 years, 2 months
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia
2 years, 2 months
WAZIRI MAKAMBA AWAASA WABUNGE WANAWAKE KUHAMASISHA NISHATI BORA YA KUPIKIA
2 years, 3 months
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE
2 years, 4 months
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
2 years, 5 months
EWURA GCC YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA SGR
2 years, 6 months
EWURA imetoa mafunzo ya udhibiti kwa baadhi ya wafanyakazi wake ili kuwajengea uelewa wa misingi ya shughuli za udhibiti.
2 years, 8 months
Visima vya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe
2 years, 9 months
Naibu Katibu Nishati akagua miundombinu ya Gesi Songosongo
2 years, 9 months
Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
2 years, 9 months
EWURA yakusanya maoni juu ya marekebisho ya bei za umeme kwa wananchi wa Visiwa vya Ukerewe.
2 years, 10 months
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa
2 years, 10 months
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania
2 years, 10 months
Mkuu wa Mkoa Mara, Mheshimiwa Ally Hapi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kusambaza majina ya mafundi umeme kuanzia katika ofisi za Kata
2 years, 11 months
KATIBU MKUU NISHATI ATAKA WIZARA YA NISHATI IWE KITOVU CHA UFANISI KATIBU
2 years, 11 months
EWURA KANDA YA ZIWA YATOA SEMINA KWA WADAU WA SEKTA NDOGO YAMAFUTA YA PETROLI WA MKOA WA MWANZA
2 years, 11 months
BEI YA MAFUTA YA PETROLI YASHUKA
2 years, 11 months
EWURA YAWAONGEZEA UJUZI MAMLAKA YA UDHIBITI WA NISHATI YA MALAWI MERA
2 years, 11 months
Wadau wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli wameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi mzuri inaoufanya katika kuhakikisha Watanzania wanapewa vipaumbele vya ajira katika miradi mbalimbali inayoendelea kwenye shughuli hizo
2 years, 11 months
Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuph Makamba ametoa wito kwa serikali ya India na wawekezaji wa nchini humo kutembelea nchini Tanzania ili kutazama fursa zinazopatikana kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati.
3 years