Waziri Makamba akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia, wajadili maendeleo Sekta ya Nishati Waziri wa Nishati January Makamba amekutana na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa benki hiyo kwa upande wa Tanzania, Mara Warwick, na kuzungumzia mambo mbalimbali kubwa likiwa ni uendelezaji wa Sekta Nishati ikiwemo masuala ya umeme na gesi.
Katika mazungumzo hayo, Makamba ameishukuru benki hiyo kwa ushirikiano wake na Serikali ya Tanzania pia kuwezesha utekelezaji wa miradi ya Maendeleo nchini ukiwemo ule wa Umeme wa kuunganisha Tanzania na Zambia (TAZA). Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati zilizopo mkoani Dar es Salaam, Machi 28, 2022.
Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yamelenga zaidi kuimarisha ushirikiano kati ya benki hiyo na Serikali ya Tanzania katika kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. “Serikali ya Tanzania inaishukuru Benki ya Dunia kwa kuwezesha miradi ya nishati hapa nchini, tunawaahidi tutaendelea kushirikiana nanyi katika nyanja mbalimbali kwa kuwa tumeona matokeo chanya katika miradi ambayo benki hii imeiunga mkono hasa katika Sekta ya Nishati. " Amesema Makamba.
Mkutano huo umehudhuriwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Seif Said na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Anitha Ishengoma pamoja na Viongozi wengine waandamizi kutoka wizarani, REA na TANESCO. Kikao hicho kimejadili mradi wa Usambazaji wa umeme vijijinj, njia kuu za kusafirisha umeme pamoja masuala ya gesi.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkazi wa WB nchini Tanzania, Warwick amemueleza Waziri wa Nishati kuwa wataendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kwa kuiunga mkono Sekta ya Nishati, ili kutanua wigo wa ukuaji ya sekta hiyo.
Ameongeza kuwa, watawajengea uwezo wataalam katika Sekta ya Nishati ili kuweza kuongeza tija na ufanisi katika sekta hiyo.
Kenya's KenGen signed a KSh 250 million deal with Eswatini to assess geothermal potential, reinforcing its role as Africa’s geothermal leader. The project supports Eswatini’s renewable energy goals while diversifying KenGen’s revenue and advancing clean energy solutions.
1 month, 2 weeks
Indonesian President Prabowo Subianto and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan met in Brazil to discuss cooperation in energy, oil, and gas sectors. Both leaders agreed to deepen ties, focusing on trade, investment, and human resource development.
1 month, 4 weeks
President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, swearing in Dr. James Peter Mataragio as the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Energy at a ceremony held at state house Tunguu, Zanzibar, on March 5, 2024.
10 months, 2 weeks
The 16th meeting of the East African Community (EAC) Energy Sectoral Council of Ministers, which started on February 12, 2024 at the Community's Headquarters in Arusha, has been concluded on February 14 2024.
11 months
TANESCO to Construct Largest Solar Power Plant in Kishapu, Shinyanga Region
1 year, 7 months
The German Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ) is committing €112 million to support Kenya in the development of renewable energy and green hydrogen.
2 years
Naibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili visaidie katika upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
2 years, 2 months
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia
2 years, 2 months
WAZIRI MAKAMBA AWAASA WABUNGE WANAWAKE KUHAMASISHA NISHATI BORA YA KUPIKIA
2 years, 3 months
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE
2 years, 4 months
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
2 years, 5 months
EWURA GCC YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA SGR
2 years, 6 months
EWURA imetoa mafunzo ya udhibiti kwa baadhi ya wafanyakazi wake ili kuwajengea uelewa wa misingi ya shughuli za udhibiti.
2 years, 8 months
Visima vya nishati ya Jotoardhi kuanza kuchorongwa Songwe
2 years, 9 months
Naibu Katibu Nishati akagua miundombinu ya Gesi Songosongo
2 years, 9 months
EWURA yakusanya maoni juu ya marekebisho ya bei za umeme kwa wananchi wa Visiwa vya Ukerewe.
2 years, 10 months
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa
2 years, 10 months
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania
2 years, 10 months
Mkuu wa Mkoa Mara, Mheshimiwa Ally Hapi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kusambaza majina ya mafundi umeme kuanzia katika ofisi za Kata
2 years, 11 months
KATIBU MKUU NISHATI ATAKA WIZARA YA NISHATI IWE KITOVU CHA UFANISI KATIBU
2 years, 11 months
EWURA KANDA YA ZIWA YATOA SEMINA KWA WADAU WA SEKTA NDOGO YAMAFUTA YA PETROLI WA MKOA WA MWANZA
2 years, 11 months
BEI YA MAFUTA YA PETROLI YASHUKA
2 years, 11 months
EWURA YAWAONGEZEA UJUZI MAMLAKA YA UDHIBITI WA NISHATI YA MALAWI MERA
2 years, 11 months
Wadau wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli wameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi mzuri inaoufanya katika kuhakikisha Watanzania wanapewa vipaumbele vya ajira katika miradi mbalimbali inayoendelea kwenye shughuli hizo
2 years, 11 months
Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuph Makamba ametoa wito kwa serikali ya India na wawekezaji wa nchini humo kutembelea nchini Tanzania ili kutazama fursa zinazopatikana kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati.
3 years
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaji katika vitalu namba 1 na 4 na Equinor ambao ni wawekezaji katika kitalu namba 2
3 years, 1 month